Wacheza rafu hodari 10 duniani.



Huyu Gagulo siku hiyo alishikwa mwanzo mwisho na akaonelea tu akapumzike kwa kisingizio alichokiainisha...

Zidane wenzako wanaagaga kwa heshima, ila sio kama wewe ulivyoaga.
 
Naona tumemiss sana soka hadi tumefikia muda wa kusifia wachezaji wanaofanya rafu uwanjani. Zimebaki chini ya siku 30 ligi za ulaya zianze ina maana mmeshindwa kuvumilia hadi mnaanzisha nyuzi kama hizi, au ni swaumu ilifika kooni? hahahaha.
 
Huyu Gagulo siku hiyo alishikwa mwanzo mwisho na akaonelea tu akapumzike kwa kisingizio alichokiainisha...

Zidane wenzako wanaagaga kwa heshima, ila sio kama wewe ulivyoaga.
Lakini Zizzuo bado kwangu ni greatest player of recent generation
 
#31
JF Bronze Member
Array


Join Date : 31st August 2009
Location : Lyamba Lya Mfipa
Posts : 20,273
Rep Power : 16911
Likes Received2847
Likes Given2187


[h=2]
Re: Wacheza rafu hodari 10 duniani.[/h]

By Fasouls

Wacheza rafu
hodari 10 duniani =
not grammatical (huo mpangilio wa maneno sio sahihi)




Hatupo jukwaa la lugha, wadau tumemwelewa.


Ndo maana kiswahili kinaharibika sababu ya bora liende, bora umeeleweka
​
 
Nakubaliana na wewe. Huyu Dogo sijui kawatoa wapi hao wachezaji wake. Utasemaje Edgar Davids ni mchezaji rafu? Gattuso na Diuf ni walalamishi sana na wapenda zogo na zaidi Gattuso ni ngumi mkononi ila siyo mpiga kiatu.

Viera alikuwa anapiga kiatu hadi mwenyewe anasikitika, damn. Halafu sijui umemwacha kwa nini PEPE de Animal?

 
Last edited by a moderator:






Weka mtazamo wako usiwe mvivu wa kusoma hii ni kwa ninavyofikiri mimi,ukisema dogo dogo,who is dogo in here behave urself son of.....
 
Last edited by a moderator:
Son of what? Bitch? Ndiyo tusi la maana unaloweza kutukana wewe Dogo? Ukiangalia hao wachezaji uliowaweka, unapata picha halisi ya umri wako. Dogo ni SIFA na wala siyo tusi. Ngoja uzeeke uone utakavyoanza kuitwa KIBABU na mbaya zaidi Ubabu wako utaanza kuonekana hadi kitandani, utakapokuwa unakibembeleza kibamia chako kisimame.

Maadamu umejiunga mwaka jana, ngoja nisikupe tusi kwa leo maana nikikutusi kwa udogo wako, hadi WAKUNGA watakuja JF wakufunge Kinepi.
Weka mtazamo wako usiwe mvivu wa kusoma hii ni kwa ninavyofikiri mimi,ukisema dogo dogo,who is dogo in here behave urself son of.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…