🤣🤣🤣🤣🤣 tutaanza kum mimba muasisi wa hivyo vidude, labda asiwe mamz!Huko dar mtawekewa device ambayo mta shikwa live mkichepuka jamani hii nzuri walete arusha wanaume za watu wakome kuchepuka nakupeleka matumizi mengine natamani tuone itaendaje hili sakata finaly muoe muache kuchezea watoto wawatu wakitoka kwa walioa wanakuja kwa viwembe wakuwatesa watoto watu na wakuwakimbia pindi wanamimba au wamefubaa hii itakuja soo intake yenu hii leo ije tuone raha wengine wapumue vizuri
Tu.
Kwani wakijinyonga wewe inakuhusu nini? Mbona hamuwawazii na masikini wasio na mali mnawawazia wanawake wasio na waume tu?
Acheni uharibifuUtaonjaje ladha moja mwaka mzima lazima utest ladha mbali mbali
Mwache mwenzio na stress zake.Marianah!
1. Kama mtoa mada kaiweka mada inayohusu mahusiano hapa jukwaani ili tuchangie kwa kila mtu na mtizamo na mawazo yake! Wewe unaniambia hainihusu!! Stress hizo!!
2. Thread inazungumzia mahusiano, wewe unataka mie niingize maswala ya umasikini tungeelewana na mtoa mada au wanaMMU!? Stress hizo tayari!
Una kila dalili huna mwanaume umeamka na stress unaelekea kujinyonga!! Na hiki ndicho nilichozungumzia!! Usijali Marianah haya maisha tu!
Haya ni makavu bila chengahiyo sio divice ya kunasa mchepuko kwanza hakuna technology ya hivyo hiyo wanotengeneza ni dadabase tu ya kutambua wadada walioahidiwa kuolewa na mabahria hapa afu badae tunakataa hatujawahi toa ahadi ya hivyo so iyo database eti itatunza kumbukumbu SASA NASEMA HIVI TUTAI HACK TU HIYO DATABASE NA HATUOI KABISA
Sijaisoma nimesoma kidogo tu hapo juu kingereza najua tena chandaniKiingereza kigumu wewe wacha tu.Sidhani kama mleta mada kaelewa.Ni database sio device ya ku monitor watu.
Woga hapo ulipo unatetemekaMbwembwe tu Kama mbwembwe nyingine Hakuna kitu anaweza Fanya na kuchepuka tutachepuka tu mkituzengua
Marianah!
1. Kama mtoa mada kaiweka mada inayohusu mahusiano hapa jukwaani ili tuchangie kwa kila mtu na mtizamo na mawazo yake! Wewe unaniambia hainihusu!! Stress hizo!!
2. Thread inazungumzia mahusiano, wewe unataka mie niingize maswala ya umasikini tungeelewana na mtoa mada au wanaMMU!? Stress hizo tayari!
Una kila dalili huna mwanaume umeamka na stress unaelekea kujinyonga!! Na hiki ndicho nilichozungumzia!! Usijali Marianah haya maisha tu!
Hakuna Mungu anasikiliza ujinga wa hiviSijawahi kumpenda wala kutamani Bashite afanikiwe kwenye jambo lake lolote lile ila kwenye hili swala kama yeye ndiyo pioneer basi nitafunga na kuomba ili afanikiwe tu kwa kweli
Mambo yake yote ni ya kipuuzi ndo maana hafanikiwi pamoja na hiliSijawahi kumpenda wala kutamani Bashite afanikiwe kwenye jambo lake lolote lile ila kwenye hili swala kama yeye ndiyo pioneer basi nitafunga na kuomba ili afanikiwe tu kwa kweli
Hili mnaliona la kipuuzi sababu limewagusa eti?Mambo yake yote ni ya kipuuzi ndo maana hafanikiwi pamoja na hili
Hili mnaliona la kipuuzi sababu limewagusa eti?
Kwa sababu wanaume mnajivunia umalaya ndiyo maanaKuna mambo mengi ya maana ya maendeleo angefanya sasa kwa akili yako kabisa huoni hili ni la kijinga Kwanzaa haliwezekani ni kupoteza Mdaa tu.. Anafanya vtu kwa mihemko