PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Huwa najiuliza sana, wachawi wanapata faida gani kusumbua watu wengine kwa kuwaloga na hata kuwaua, maana ukiangalia watu wengi wanaotajwa kuwa wachawi iwe mjini ama kijijini maisha yao ni ya kimaskini tu tena ukienda vijiji vilivyokubuhu kwa uchawi ndo mafukara wa kutupwa.