GE2025 Wachama CCM Ulanga Watishia Kurudisha Kadi kwa Sababu ya Matokeo ya Kura za Maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Wachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)zaidi ya 50 Kutokana Kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, wametishia kurudisha kadi endapo jina la Mtia nia Udiwani aliyeingoza kwenye kura za maoni alitorudishwa.

Wakizungumza wakiwa katika ofisi ya CCM Mkoa Morogoro, Wanachama hao wamesema wameamua kusafiri kutoka katika Kata hiyo hadi Ofisini hapo ili kupata majibu kwanini Mtia nia aliyeshinda hajapewa barua ya utambulisho badala yake amepewa mshindi wa nafasi ya pili.

Kwa upande wake Mtia nia aliyeshinda nafasi ya kwanza kura za maoni Bw. Marugu Manosu anasema alipofatilia katika ngazi mbalimbali za Chama amejibiwa kuwa bado jambo linafanyiwa kazi lakini hajui hadi lini.

Safi sana watu wa Minepa hapo nimefurahi kuona jinsi umekuwa na ujasiri na ukomavu mkubwa kisiasa!
 
Back
Top Bottom