kuna mmoja hapo yuko bize kuangalia kama kuna hela chini
kishumundu haowachaga wa wapi?
Machame sababu Panone mmachame.wachaga wa wapi?
nina muona monyo hapo akiwa na merinyo! but ebu tuwakumbuke wachezaji mpira mahiri waliotoka kilimanjaro ;-1> John lyimo,waweza endeleza
hongera zao unapoongerea soka la kirilimanjaro unanikumbusha wapinzani wetu wa soka ushirika ya moshi je unawaza jua timu gani hapa tanganyika ilikua ikutana na ushrika soka linakua kama lile la barca na atretical?
Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanzaView attachment 162396
Timu kuwa Kilimanjaro haina maana wachezaji wake lazima wawe kabla la wachaga; wachaga tuna mambo mengi tofauti na mpira hao vijana ni burudani kwa wachaga lakini si wachaga