WACHAGA WAAIBIKA LEO Tbc

Status
Not open for further replies.
Mbona hawashangai wanaoenda kumpiga mawe shetani huko MAKA????
Asa aibu iko wapi mbona hizi dini zimekuja juzi tu na saivi kuna hadi maaskofu mashoga sasa unashangaa nn kutambika wanaoliwa tigo huoni tatizo
 
Kumbe jf kina wachaga wengi sana!!

wachaga inaonyesha wanakubalika sana humu JF kila thread ni wachaga tuu sisi tunawafurahi sana kujadiliwa kwa sababu tunakubaliki sana.
 
wachaga inaonyesha wanakubalika sana humu JF kila thread ni wachaga tuu sisi tunawafurahi sana kujadiliwa kwa sababu tunakubaliki sana.

Safi sana mkuu inadumisha mila! Wewe wa wapi sanya juu au shimbi?
 
Wachaga masmini walowahi mapeeema to mwishoni mwa novemba
 

nini shida? mbona unaandika kama unataka kuruka?
 

Kutambika ni kosa?
 
Habari kama hizi tbc ndio mahala pake,,. Meli ya MV spice wakati inazama wao wanapiga taarabu.TBC Andaaeni ripoti maalum basi juu ya wachaga!
 
Hii inaonyesha ni jinsi gan Wachaga ni washirikina, mtu anaeamini dini ya kweli na imani ya Mungu hawezi kwenda kula visusio, kwanza ni najisi. Ndio, ni uchafu na biblia imesema pia. Kitu cha ajabu ni kujifanya watu wa dini kumbe hamna kitu.
Acheni ushirikina
 

Hapa jf hakuna mjinga mwenzio anaengaliaga tbc.
 

ndo mwisho wako wa kufikiria umeishia hapo kichwa cha kuku
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…