Kinga imara Kama kipa wa Mexico!
Anhaa sasa nimeelewa unamaanisha huo ni uwanja wa mpira wachezaji ni wengi kwahio watu wajikinge na watumie condom!
kwanini niitafute )unajua sijaisoma mpaka uliponiambia sasa!Tafuta comment ya suleym
Nini hichoo?????