Haya bhanakwani hizo s ndo namba zenyewe??
au bado tuongeze tarakimu?
Buji, watusaidie part 2 yake.Ndio mnatukomoa kwa kukwapua 1.5 trillion?
Kitu cha kwanza alichoanza nacho ndani ya ccm ni kubadili katiba ili na mwaka 2020 asiwe na mpinzani ndani ya ccm, wakina bashe na wenzake walipopinga wakaonjeshwa shubiri hawakurudia tena
KkkkkkkkkNdio mnatukomoa kwa kukwapua 1.5 trillion?
Eti mafisadi wote nitalala nao mbele, ishii hivi huyu ni mtanzania kweli?, anajua kiswahili kweli?, ndiyo maana wengine wanasema ni mrundi, wengine wanasema ni mnyarwandahahahaha.
bado mbona muvi haija isha.
twende mbele kwa mbele huko ndo kutamu zaid
hahahahhaEti mafisadi wote nitalala nao mbele, ishii hivi huyu ni mtanzania kweli?, anajua kiswahili kweli?, ndiyo maana wengine wanasema ni mrundi, wengine wanasema ni mnyarwanda
Mtanzania yeyote hata mtoto mdogo ukimwambia nitalala mbele na wewe atakimbia atajuwa unataka kumbakahahahahha
sasa unafikiri kwanini watu wana mdiss wakat Hana makosa jmna.
unataka zifike mpaka wapi sasa...?? mpka mwisho wa display ya laptop au?kwani hizo s ndo namba zenyewe??
au bado tuongeze tarakimu?