yani skuizi bonge kama ofisi ndogo saaana ya mtaa wa daresalam ambayo iko chin ya makonda daaah lakin yataisha tu haya
lakin kumbuka nibora kuwa na adui mwenye akili kuliko kuwa na rafiki mjinga
sasa kama kamati ya bajeti yupo Bulembo,then amshauri waziri wa fedha asiyejua nini maana ya VAT ni balaa nusura ya mikosi.
haya bhana nyie jengeni viwanda mimi naendelea kubet .................
Mbona wabunge wenyewe wamekuwa koplo saluti tu mkulu anaamua yeye anavyotaka, maana hela anayo yeye kwenye kibubu bank kuu, wabunge hawana kazi zaidi ya kupokea poshotu
Ni aibu kwa bunge kuwa na mkuu wa kitengo cha Elimu, Habari na Mawasiliano anaye andika "amemuamisha" badala ya "amemhamisha". Shame on this Bunge kibogoyo. Lipolipo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.