Mkuu kwa hiyo hatua zote hizo hazikufuatwa?, kweli nchi hii haitakaa iishiwe vitukoNisikuchoshe, soma namba tatu (3) hapo chini:
![]()
Waziri nae awajibishwe kwa makosa ya vitabu. Kumbe ndiye anayehidhinishaNisikuchoshe, soma namba tatu (3) hapo chini:
![]()
Mkuu kwa hiyo hatua zote hizo hazikufuatwa?, kweli nchi hii haitakaa iishiwe vituko
You mean akina bashite ndo walidili na hiliZilifuatwa ndugu. Tatizo ni competence iko chini, tena hapo katika vitabu hivyo walijitahidi sana. Tusiwalaumu, maana uwezo wao ulifika kikomo.
Huyu mama ni mjanja mjanja sanaNisikuchoshe, soma namba tatu (3) hapo chini:
![]()
Akipelekewa ana mwachia PS kupitia, kazi kubwa wao ni kusaini na kuwahi posho sehemu nyingine.Mkuu kwa hiyo hatua zote hizo hazikufuatwa?, kweli nchi hii haitakaa iishiwe vituko
Waziri ndio anaidhinisha ila sifa yake ni kusoma na kuandika!!!!Nisikuchoshe, soma namba tatu (3) hapo chini:
![]()
Ndio hao hao mkuuYou mean akina bashite ndo walidili na hili
Huyu mama naye si wa kumwamini sana. Mwoga mwoga na ni ntu wa kupanic. Angekuwa strong akina DAB wangetamba wapi?Huyu mama kumbe anataka kumuangushia mwenzake zigo la mav* wakati anatakiwa abebe yeye?
Mbona kigeugeu mkuu Wewe ni ke au meSafi Sana mkuu.
Wabunge walipaswa kujua haya kabla ya kulaumu ili wajue Nani haswa wa kulaumiwa .
Kwa utaratibu huu, na JF members walioactive kwa mambo ya maana, nchi itanyooka
ukigeugeu uko wapi mkuu au umekunywa...Mbona kigeugeu mkuu Wewe ni ke au me