Wabunge wagomea utaratibu wa kujisajili mara mbili

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
13124633_1096624163735374_8318138911740345689_n.jpg

Tatizo la wabunge wetu wamezoea utoro
 
Hawana tofaut na wanafunz wetu tu. We mbunge sio wa dodoma. Kaz zipi za kibunge huko dom zinskukosesha kikao? Na hizo kamat zinapangwa kweli muda wa kikao?
 
Wabunge wa chama gani?, itakuwa ni wabunge wa ccm, kwa hiyo sema wabunge wa ccm wagomea......
 
13124633_1096624163735374_8318138911740345689_n.jpg

Tatizo la wabunge wetu wamezoea utoro

kila mtanzania itafika zamu yake ya kubanwa kwa fedha ya umma anayolipwa mda wote utumike kujenga taifa.

walioko kwenye sekita binafsi watabanwa na waajiri wao au mifumo ya maisha.

asiyetaka kubanwa kama mwanafunzi ajue si lazima kuwa mbunge anaweza kuwa mwananchi wa kawaida.
 
Mkuu sekta binafsi wameshabanwa kitambo tu, viwanda vingi na ofisi nyingi za sekta binafsi wanatumia hizo hizo mashine za kutumia alama za vidole, Asante Magufuli hii ndio kiboko ya watoro hao walikuwa ni miongoni mwa wanaoishi kama maraika sasa nao waishi kama shetani
 
Hawa waheshimiwa nao! kwa kufananishwa na wanafunzi ni kosa? si waseme tu kwamba wamegomea huo mfumo bila kutoa madai ya kufananishwa na wanafunzi? overall, kuna shule au chuo chochote ambacho wanafunzi wanajisajiri kwa kutumia mfumo huo? nafikiri wameletewa mfumo unaokwenda na hadhi yao kwa hiyo waache kulalamika.
 
Back
Top Bottom