O OSHABU Senior Member Joined Oct 12, 2011 Posts 111 Reaction score 47 Nov 5, 2015 #1 Salaam wadau, Naombeni kufahamishwa ni namna gani wabunge wa viti maalum kwa kila chama wanavyopatikana.Pia na vigezo wanavyovitumia,asante.
Salaam wadau, Naombeni kufahamishwa ni namna gani wabunge wa viti maalum kwa kila chama wanavyopatikana.Pia na vigezo wanavyovitumia,asante.