Kilichofanyika ni hiki, kuna hakina mama wa kiharabu walikuwa wanataka pasport, lakini wakakwama, hawa jamaa (wabunge) wakaamua kufunga nao ndoa chap chap ili ionekane wao (hakina mama wale) ni wake zao.
baada ya kufanya uchunguzi ikaonekana ni ndoa za ujanja ili kuwasaidia wale hakina mama,
hatua hii ilipelekea bunge kuunda kamati ambayo ilifichua hili,
kilichofuata ni kusimamishwa ubunge na kufunguliwa kesi za kugushi,
In fact sio wabunge wa bunge hili, walikwua wabunge kabla ya uchaguzi wa 2005. Ni Khamis Ally Salehe aliyekuwa Mbunge wa Magogoni na Khalifa Mohamed Issa aliyekuwa mbunge wa Mtambwe. Walidaiwa kufunga ndoa na wanawake wa Kisomali (Fardhosa Mohamed na Sophia Rage).