Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,430 Jul 5, 2011 #1 Kama kuna kitu wabunge wa ccm wanakosea ni kutofanya utafiti wa yale waongea yao ,kiasi kwamba wanahoja zisizo na mashiko ,leo nimemwona John mnyika akija na mfano wa bajeti ya zambia kuhusu matumizi ya Rais ukianisha kila kitu!
Kama kuna kitu wabunge wa ccm wanakosea ni kutofanya utafiti wa yale waongea yao ,kiasi kwamba wanahoja zisizo na mashiko ,leo nimemwona John mnyika akija na mfano wa bajeti ya zambia kuhusu matumizi ya Rais ukianisha kila kitu!