Wabunge wa CCM mzigo usiobebeka (e.g Hamis Kigwangalla)

Tundu Lisu Alimwambia Kigwangala ......"Huyu alienda kuanzisha maandamano kwenda kwenye mgodi wa madini akiamini kuwa mwekezaji anawanyonya wanakijiji, Sasa hivi anatuambia nini huyu".

Lisu bana!!! kile ni Kisu hatari sana!

Kwa hesabu za uwiano utaona kuwa Lisu mmoja=wabunge 150 wa CCM, angalia hoja karibu zote za marekebishao jamaa alizitawala,yule mh Zambi alikuwa na kazi ya kusema yake imerekebishwa pia nikashangaa analalamika serikali haiwasikilizi wabunge wa CCM jibu ni simple tu WANAONGEA PUMBA zaidi kuliko hoja.
 
mimi hadi sasa hivi najiuliza
 
Andamaneni kumkataa, kwa sababu hawasaidii chochote. Huyo kafuata posho bungeni, he cannot deliver.
 
Mibunge ya CCM haijui kufikiri. Hata Kenya na Uganda watakosea, yenyewe yatafuata tu.
Tutayaaonda taratibu kwa kutumia nguvu ya umma.
 
Nadhani huyu ni Bi Mkora.
 
Asante kwa kunikumbusha,hata mie huyo Bi kiroboto ananikera sana kwa kutumia staili hiyo ya MAYOWE
 
bi nyalandu lazima atetee kenya,weye mchunguze same na mbunge mvaa heren kenya huyo so rizik hata jk anafahamu hilo ndo mana alisema wataka kula bila kuliwa.fanya uchunz
 
bi nyalandu lazima atetee kenya,weye mchunguze same na mbunge mvaa heren kenya huyo so rizik hata jk anafahamu hilo ndo mana alisema wataka kula bila kuliwa.fanya uchunz
Ah! Kaoa mrembo flani hivi miaka ya karibuni.
 
Kwa hili sina la kusema, historia inatuhukumu sisi watu wa nzega,wana JF naombeni msaada wa kisheria ili nimburuze mahakamani huyu mbunge kabla ya 2015.Ili anyang'anywe chicho cheti cha udaktari
 
Kwa hili sina la kusema, historia inatuhukumu sisi watu wa nzega,wana JF naombeni msaada wa kisheria ili nimburuze mahakamani huyu mbunge kabla ya 2015.Ili anyang'anywe chicho cheti cha udaktari
Iburuzeni CCM ndio iliyowabambikia huyu Kigwangala nanyi mkampa kura. Mzee Seleli yuko wapi? Akina Sitta, Mwakyembe wamemsahau kabisa!
 
mzee Selelii yuko mjini Nzega anakula mitaa tu kila siku.Sijui kama anampango wa kugombea tena
"ni bora kuwa na mbunge aliyeishia form four kuliko Daktari wa kuiba elimu
 
alishasahau kama aliandamana na watu wake........wabunge wengi wa ccm ni mzigo

Masikini ya mungu, wabunge wengi ccm hawajui kwa nini wanaingia bungeni, wengi wao wanadhani wanaingia bungeni kusaini posho na kuendesha magari ya mikopo. tena wengine wanakuwa wamelala usingizi wakisikia mtoa mada anatanja mikoa, huamka usingizini na kugonga meza wakiashiria katoa point!!!! CCM CRAP!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Maji Marefu naye huwa anafuka moshi mpaka najuta kuangalia kipindi cha bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…