Ndugu wana jamvi kitendo cha katiba kutotambua viti maalum nakipongeza sana kwani kumpeleka mtu bungeni burebure kwa ajili ya jinsia yake inakera nainaondoa uwajibikaji bungeni.Leo hii wanawake wabunge wameligeuza bunge kama kitchen part kwa kupiga vigeregere na mayowe wakati wakishangilia na kuondoa utulivu bungeni.