Wabunge: Njaa Inatuua

Acha wote tuisome namba ili akili itukae vizuri.
 
Hali hii ikiendelea labda tutashuhudia wasomi wakirud kwenye nafas zao walizoitiwa na akili zao. Mana ilishaonekana hata ukisomea nini hadi u profesa bado fursa ni siasa. Labda tutasoma tafit nying na ugunduz mwingi fani mbalimbali za kuipeleka nchi mbele. wabunge wakishafikia kutaka mfuko wa kuhonga kwa mgongo wa kusaidia wananchi. Kwanini akuchague na umsaidie kwa mfuko wako?. Ni kuzalisha kizaz tegemez kwa wanasiasa. Rais weka sera na sheria tufkie mahali siasa iwe wito na sio kimbilio la kuyapatia maisha. Mtu anapasua kichwa anakuwa Dr bado anahitimisha kuwa mbunge!!!!!
 
Acha waisome namba na wenyewe manake wamezid kila kitu ndiooooooo .
 
Kwani hawajafunga mwezi mtukufu, kwa ninavyomjua maghu atakuwa kawafungisha Ramadhani kinguvu
 
Si wanalipwa mishahara? Hizo posho za vikao za nini? Hivi bado zipo hazijaondolewa?
Kukaa vikao vya bunge ni kazi ya mbunge ndio kazi yake posho za vikao za nini? wakati analipwa mshahara
 
Watu wanalipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi eti wanalia njaa....na walimu wanaolipwa laki nne kwa mwezi watasemaje sasa..upuuzi mtupu
 
Harafu cha ajabu huyo Dr, ambaye amesota na shule kwa kipindi chote hicho akiingia bungeni anapewa mshahara sawa na yule mwenye kiwango cha kidato cha nne, hii ni hatati sana
 
tatizo wamenunua magari ya ghali sasa wanakiona cha mtema kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…