Wabunge na vikuku

side yako, vikuku vinaashiria nini??? mana nikisoma comments zako sikuelewi vizuri
 
Jamani sioni tatizo la vikuku tunachotaka ni je? wanafanyaje kazi? wanawake tumeambiwa tujipambe, hata kwenye biblia vikuku vinaruhusiwa watu wa biblia zamani walivaa, nimesahau mstari nikikumbuka nitawaletea.
Ulishenda darasani umevaa chupi kisa eti unaenda kusoma wasiangalie umivaaje.... achezi kushabikia upuuzi!! ka ni vikuku wavae manyanga ya kuchezea madogoli tujue basi ni watamaduni!!
 
performance haiji na kikuku mguuni!!!na kwa nini uvae kikuku!!!nadhani wabunge hawa ni wakuteuliwa tu,sidhani kama akina mdee waliochaguliwa watakuwa na muda na mawazo haya machafu,niwekeeni picha ya mdee ana kikuku ,tumuone
 
Jamani sioni tatizo la vikuku tunachotaka ni je? wanafanyaje kazi? wanawake tumeambiwa tujipambe, hata kwenye biblia vikuku vinaruhusiwa watu wa biblia zamani walivaa, nimesahau mstari nikikumbuka nitawaletea.

Kwa hiyo hata wakienda uchi, cha msingi ni wao ku-perform!?
 
Hakuna tatizo hapo, wabongo kuoverreact kama kawaida.
 
now i believe my beautiful tanzania is in the hand of dogs........
 
Bila shaka hawa ni wabunge wa viti maalumu; na hivyo vikuku na urembo wao ndivyo vilivyowafanya waqualify kuchaguliwa na JK kuwa wabunge wa viti maalumu!!!!
 
jamani bongo full maigizo mpaka bungeni....ila warembo hao,,,
 
Sioni tatizo kwa hizo shanga za miguu. Ni utamaduni wa kimasai uluoboreshwa tu

Lakini mbona nasikia wavaaji vikuku wana tabia ile ya kutumia mtandao cheap, kama ni kweli wabunge tunao.
 
Jamani sioni tatizo la vikuku tunachotaka ni je? wanafanyaje kazi? wanawake tumeambiwa tujipambe, hata kwenye biblia vikuku vinaruhusiwa watu wa biblia zamani walivaa, nimesahau mstari nikikumbuka nitawaletea.

r u a great thinker!?..
 
Ngoja nikunong'oneze watu wasisikie, "Hao ni zaidi ya wabunge ni vitu vya wakubwa, utaona hata wakiwa wanachangia hoja, siyo kwa maslahi ya Taifa ila kwa maslahi ya mapededjee wao" hii ndo bongoland.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…