Ndio matatizo ya kuteua wabunge wasio na maadili!!Ina maana kupendeza heleni,bangili ,shanga na mikufu havitoshi???Waache ushamba na mambo ya kiswahili-Huko ni kutafuta umaarufu tu
Big up Firstlady1. Tunachotaka ni performance. Wangapi wanavaa suit za hariri na viatu vya heshima bila vikuku lakini maadili zero. Wasiokuwa na vikuku au vibata ndio mafisadi wakubwa. Tuwaache wadada wang'are, lakini siyo wang'are kwa vikuku tu bali pia kwa hoja na kauli mujarabu huko jengoni.
Ndio matatizo ya kuteua wabunge wasio na maadili!!Ina maana kupendeza heleni,bangili ,shanga na mikufu havitoshi???Waache ushamba na mambo ya kiswahili-Huko ni kutafuta umaarufu tu
poa tu! ila tujiulize hao vikukuz waliingiaje bungeni? kama walichaguliwa na wananchi ni nzuri sana,kama waliteuliwa basi ujue vikuku vyao vinatumika kama inavyotafsiriwa na wengi.
Mie naamini kwamba kuwa kiongozi ni lazima unakuwa kioo cha jamii na hivyo watu watategemea kuwa utakuwa mfano wa kuigwa. Pia ikumbukwe kwamba kila vazi au uvaaji una sehemu zake. Mbunge kuvaa chain mguuni I don't think it is proper. Tutawakanyaje mabinti zetu wakivaa vikuku kuelekea nursery school?
Jamani sioni tatizo la vikuku tunachotaka ni je? wanafanyaje kazi? wanawake tumeambiwa tujipambe, hata kwenye biblia vikuku vinaruhusiwa watu wa biblia zamani walivaa, nimesahau mstari nikikumbuka nitawaletea.