H HERBERTH Member Joined Jun 4, 2013 Posts 16 Reaction score 2 Jun 6, 2013 #1 jana mbunge mmoja wa bunge la tanzania ajinadi kwa kupata division one ya hesabu. Hv kweli kama mh mbunge anaye wawakilisha watu anachemka kutofautisha division one na A kuna haja ya kuwemo bungeni!
jana mbunge mmoja wa bunge la tanzania ajinadi kwa kupata division one ya hesabu. Hv kweli kama mh mbunge anaye wawakilisha watu anachemka kutofautisha division one na A kuna haja ya kuwemo bungeni!
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,813 Jun 6, 2013 #2 hivi ni kweli kama waziri anashindwa uzalendo kutofautisha kati ya zimbabwe na zanzbar anafaa kuendelea kuwa waziri!
hivi ni kweli kama waziri anashindwa uzalendo kutofautisha kati ya zimbabwe na zanzbar anafaa kuendelea kuwa waziri!
V voniati Member Joined May 27, 2013 Posts 6 Reaction score 1 Jun 6, 2013 #4 Du mbunge yup huyo?kwel darasa hakuna,okey labda ni kakosea bahat mbaya!
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 408 Jun 6, 2013 #6 Atakuwa mwenyekiti wetu mwenye Zero form 4 aka Dj