Godlove jn
Member
- Jul 6, 2011
- 14
- 0
Kuna dalili za kutosha kwa wabunge wengi especially ccm kupoteza nafasi zao kama kutakuwa na uchaguzi mdogo tena ama uchaguzi mkuu wa 2015 na hii nikutokana na makosa mengi ambayo ccm imekuwa ikifanya na wabunge wengi wanajua lakin hawataki kubadilika.
Kama jimbo la Mtera njia nyeupe as if lipo wazi!
Kama jimbo la Mtera njia nyeupe as if lipo wazi!