Hao wote walioteliuliwa kwa kutumia kula za rais wote ni wanaccm.kwa hiyo sioni kosa unless angekuwa ameenda cuf/chadema hapo sawa. Wewe niambie je nani kama dr mahiga kwa wabunge wa ccm waliobaki.nani kama dr.mpango-fedha,nani kama prof.ndalichako-elimu,nani kama prof muhondo-nishati.
Hata katiba ya jaji warioba ilipendekeza mawaziri wasiwe wabunge ila kutokana na tamaa za wabunge waliokuwa wanaangalia njia za kupata vyeo ili waibe basi wakakiondoa.
Overall wote ni watanzania na wanawatumikia watanzania haohao
Rasimu ya warioba mwarobaini wa ujinga huu.
Kama mawaziri watakuwa sio wabunge watakuwa wanafanya kazi kwa manufaa ya taifa na sio chama. Kwa upande wa chama ni hatari watakuwa wamepoteza power over the goverment. Sithani CCM watakubali hili labda wakitoka madarakani.
Hao wote walioteliuliwa kwa kutumia kula za rais wote ni wanaccm.kwa hiyo sioni kosa unless angekuwa ameenda cuf/chadema hapo sawa. Wewe niambie je nani kama dr mahiga kwa wabunge wa ccm waliobaki.nani kama dr.mpango-fedha,nani kama prof.ndalichako-elimu,nani kama prof muhondo-nishati.
Hata katiba ya jaji warioba ilipendekeza mawaziri wasiwe wabunge ila kutokana na tamaa za wabunge waliokuwa wanaangalia njia za kupata vyeo ili waibe basi wakakiondoa.
Overall wote ni watanzania na wanawatumikia watanzania haohao
nakubaliana na wote wanaosema mawaziri wasiwe wabunge kwani hii inapoteza vipaji vingi sana ambavyo viko nje ya siasa mimi ni mpenzi wa ideas sana no matter where they come from. kwa mfano uwaziri wa elimu watu wote wapewe nafasi ya kuomba kazi hiyo na waandike watafanya kwa mfano kuweza kuinua kiwango cha elimu halafu ideas zao zichujwe wale wenye idea nzuri waitwe waojiwe kwa kina na atakayekuja juu apewe nafasi tuachane na mambo ya siasa kwenye kila kitu
...............
Upande wa pili linakuja umuhimu pia wa labda kutenganisha ubunge na uwaziri, kwamba ili uwe wazir lazima uwe mbunge, hili nalo linahitaji kuangaliwa upya kwa sababu linaleta mgongano, Rais analazimika kuchagua mawaziri ktika sample ya wabunge, hata km hawana ubora wa kutosha inambidi ateue tu, kwa sababu hata sasa ungemwuliza JPM kuwa katika wale mawaziri aliowateua je ni kweli kwamba ndo kaona wanafaa au imembidi tu achukue hata km hawatafit kwenye hizo nafasi, maana tayari hata angeona wengine huku nje, ni nafasi kumi tu anazo za kuteua, zinazobaki lazima arudi kwenye kapu la wabunge waliopo..
Nionavyo huu ni utata mkubwa wa kikatiba, huku inahitaji mbunge awe na minimum qualification ya kusoma na kuandika huku inalazimisha mawaziri watokane na wabunge, obviously unatengeneza serikali dhaifu sana tena sana...maana hata hao wabunge ni watunzi wa sheria zetu... ndiyo maana ndiyo hazitaisha kwenye bunge zetu!!!!