Mbunge CCM amponda rais
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameipinga hotuba ya Rais Kikwete kwa madai kuwa imejaa vitisho na kujibu hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.
Mmoja wa wajumbe aliyezungumza na Tanzania Daima Muda mfupi baada ya kumalizika kwa hotiba ya Rais Kikwete katika uzinduzi wa Bunge Maalumu la Katiba, Kangi Lugola, alisema kuwa kauli ya Kikwete ni matokeo ya ukiukwaji na uvunjwaji wa kanuni.
Alisema imesikitisha kuona rais akiwa na sura ya vitisho na kwa wajumbe wa bunge maalumu huku akiwa anaibeza rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Jaji Warioba.
Kwa upande wake mjumbe wa Bunge la Katiba, Maria Sarungi alisema kuwa hotuba ya Rais Kikwete imechukua muda mrefu na kujiondoa katika hotuba na badala yake kuwa kama semina.
Alisema pamoja na mapendekezo yake ya kutaka kuwepo kwa muundo wa serikali mbili, haiwazuii wajumbe wa Bunge Maalumu kujadili na kupendekeza maoni yao ambayo wanaona yanafaa.
source:TanzaniaDaima.
hii hotuba ni ya kihistoria, hotuba ya jk . hata nyerere hajawahi kutoa hotuba nzuri kama hii. jk ndio rais bora kupita wote africa
Tunataka hotuba mbadala kutoka kwa huyo mnaemwita slaa
Kweli Mungu aliumba viumbe wengi DUNIANI!hii hotuba ni ya kihistoria, hotuba ya jk . hata nyerere hajawahi kutoa hotuba nzuri kama hii. jk ndio rais bora kupita wote africa
Tunataka hotuba mbadala kutoka kwa huyo mnaemwita slaa
hii hotuba ni ya kihistoria, hotuba ya jk . hata nyerere hajawahi kutoa hotuba nzuri kama hii. jk ndio rais bora kupita wote africa
hii hotuba ni ya kihistoria, hotuba ya jk . hata nyerere hajawahi kutoa hotuba nzuri kama hii. jk ndio rais bora kupita wote africa
hii hotuba ni ya kihistoria, hotuba ya jk . hata nyerere hajawahi kutoa hotuba nzuri kama hii. jk ndio rais bora kupita wote africa
] Mkuu hapo nilipobold naona alijisahau na kufikiri yupo kwenye vikao vya chama.Kama tayari anajibu la kila tatizo basi bunge livunjwe tusave hela za walipa kodiNi hotubaa au ni mawazo ya mkuu wa nchi ambaye jana alijiteua kuwa mjumbe wa 202 la wajumbe wateule wa BMK katika kujadili rasimu ya katiba? Vyombo vya vinapotosha ukweli kudai JK kafungua rasmi BMK, Maana kama ni kufungua, naamini aliyefanya kazi hiyo ni Jaji Warioba baada ya hotuba yake, ndipo kazi ya mjadala ikaanza rasmi na mchangiaji wa kwanza alikuwa mkuu wa nchi. Kila mtanzania amemsikia jinsi alivyokuwa makini katika kutoa maoni yake japo mwisho alijisahau na hata mzee 6 alipitiwa kumshitua alipotamka maneno haya: MSIMAMO WAKE NI MUUNDO WA SERIKALI MBILI, NA KATIKA MUDA WAKE WA AKIWA RAIS WA NCHI HATORUHUSU MUUNDO WA SERIKALI TATU! Kwa kauli rais alichangia maoni yake lakini alimaliza kazi yote ya BMLK. J'tatu nitashangaa iwapo bunge hilo litaendelea, swali kama wataendelea watajadili na mwenye nchi kaisha tangaza msimamo wake, maana katetea hata suala la vipindi vya ubunge pasiwepo ukomo, na wabunge watakaokuwa wagonjwa wa muda mrefu waendelee kula bata hata kama wameshindwa kuwawakilisha wananchi.
hii hotuba ni ya kihistoria, hotuba ya jk . hata nyerere hajawahi kutoa hotuba nzuri kama hii. jk ndio rais bora kupita wote africa
hotuba ya rais ilisababisha mbowe apige vigelegele kwa furaha