Wabongo wanahadhirika SA.

Mkenya Mkweli, mie ni Mkenya mwenzako.. hapa hawa ndugu zangu wanakuponda kwa kuleta hii mada si kwa kuwa topic yako ni mbaya, sababu inayofanya wakupeleke mbio ni kwa kuwa wewe ni Mkenya na umewakosoa jambo ambalo wanajua ni kweli.

Shida kubwa ya waTanzania hawajazoea kuambiwa ukweli, kwenye hii forum washa ni ban mara nyingi kwa kusema ukweli ambao wengi wao hawataki kuskia. Ukisoma magazeti yao na kuskiza news zao kwenye TV na Radio, kuna ushabiki mwingi na media hizi ni za kusifia serikali na rais, hamna wakukosoa jamii. Ndio maana ni ngumu kupata habari negative kuhusu Tanzania isipokuwa ile imeandikwa na foreigners ama kwenye blog sites kama hizi.

vumilia tu na u ignore ma trolls kama Abdulhalim na wacha1... hao ni clowns humu wako kwa sababu ya comic releif.
 


Kama ningekuwa mimi ni wewe ningewapa moyo na hayo ndiyo maisha
waahangaike wawezavyo maana wengi wamefanikiwa kwa njia hiyohiyo
na ule uchafu uliouona utatoka kama watafanikiwa''it is better to be there
rather than to be here in the dark cave if not the grave''.


Watanzania wapo nchi nyingi hapa duniani kama walivyo wengine wa
dunia ya tatu na tukiwaona huko tuwape moyo na si kuwabeza.
 
,,,maisha popote waache wahangike bana,,,huwezi jua


Goood.....chapailale furthermore mtoa mada anakwenda kutalii na
kutembe SA ana haki aseme wachafu si unajua hapa bongo kuna dunia
mbili akina sisi na akina wao wala kuku.
 

Asante sana,kweli wamenishangazaa sana.yaani nimeshindwa mijitu hii haina akili.tangu lini kuandika/kusema ukweli imekua ni udaku.basi tusisema chochote maana kila kinachoandikwa ni udaku.eti mwingine anauliza kama wale jamaa niliwauliza passport zao ili kudhibitisha kama kweli ni wabongo,ujinga mwiigine nakwambia ni wa kuzaliwa.

Kuna wale very open minded ,but few like that snitch Askari Kanzu and abdullahim
got some serious problem.

To abdulahim
it seems the issue of prostitution touched one of you very sensitive nerve.now that you have mentioned you have siblings in kenya it makes me wonder,you are a tanzanian but you have siblings in kenya,how come?do you have siblings in uganda too? if you do, then you have proof my point.you dont need any stats.
 


Hapa ukweli upo wapi kuwaponda watanzania wenzako tena mbaya zaidi amekwenda kutembea tu .......mkuuu samatta piga picha anawashangaa watz
walioko SA mbona ashangai omba omba waliozagaa katika nchi yetu
na watoto wa mitaani waliokimbia makwao kwa ugumu wa maisha ya kila
siku.


Je, haoni mateja na walevi wa pombe ambao ni wachafu kuliko hao aliowaona
SA? na mbaya zaidi hayo madawa wanayauza wazazi wao ambao labda ndiyo
wanaowapa maisha ya kwenda huko kutembea tu wakati anauwezo wa kulea hata
mtoto mmoja yatima.

Au mkuu samatta nawe umepoteza mwelekeo?
 
Warudi nyumbani kufanya nini!! Wache wakae huko huko watafute maisha...wakirudi Bongo hakuna deal sana sana wataongeza idadi ya vibaka!!
Hapo umenena kweli tupu!
 
MITANZANIA ni idiot kabisa...mleta hoja kasema alioyaona ila kwa umbumbu wenu mnaanza kumshambulia kwa vijembe na bezo za kutaka kukataa ukweli....

nani asiejua ukweli wa maisha ya vijana wa kibongo SA? USA na majuu kwote??

yeye kama kawaona wabongo bandarini ni vema na haki mlitaka aseme kawaona na wagambia au wakenya? ndio maana mnadharaulika....

TATIZO LENU MITANZANIA hamtaki kuambiwa ukweli ujingab wenu ndio maana mpo hapo mlipo na kwa ubishi wenu kujifanya mnajua mtabaki hapo hapo na mnajiburuza wenzenu wanapaa....mmeniudhi
 
wewe kapime akili....
 
Kuna jamaa tunafanya nao biashara ni wa South Africa wanasema they don't trust Kenyans at all kwa hiyo sishangai kusikia kuwa South Africa wakenya wako wachache.
 
Wewe ulikuepo? au ndo uzumbukuu uleule wa kuwababaikia wageni.
TATIZO LENU MITANZANIA hamtaki kuambiwa ukweli ujingab wenu ndio maana mpo hapo mlipo na kwa ubishi wenu kujifanya mnajua mtabaki hapo hapo na mnajiburuza wenzenu wanapaa....mmeniudhi
Kapime huenda ngoma ishatinga, ka-zygote kanakua tumboni.
 
Kuna jamaa tunafanya nao biashara ni wa South Africa wanasema they don't trust Kenyans at all kwahiyo sishangai kusikia kuwa South Africa wakenya wako wachache.

i dont know about that,i was in SA for few days.

tena i came to realize few of you think to go to south africa is one hell of a big deal.come on ,its in africa and its not like you crossing the sea or such
 
Punguza jazba.........nitakuelimisha....
 

Wewe mwenye akili na maarifa kamsaidie Kibaki kutatua tatizo la Kibera, Matare etc. ndio urudi hapa kubinua mdomo kuwa watanzania wanaadhirika SA. Inaonyesha una chuki binafsi na watanzania, ni juu ya nini manze? Are u frustrated na maisha?



Tafuta ishu nyingine ya kutoa frustrations zako, kwa hili umechemsha tena sana.Tatizo la kuzamia duniani Kenya mnaongoza.
 
Kuna jamaa tunafanya nao biashara ni wa South Africa wanasema they don't trust Kenyans at all kwahiyo sishangai kusikia kuwa South Africa wakenya wako wachache.

Ndugu yangu finest, hakuna mtu anatrust waKenya, hata ukienda States leo, uulize kwenye African communities watu gani hawaaminiwi, ni waKenya na wa Nigeria, hata hapa nyumbani sisi wenyewe hatuaminiani.. cha kushangaza ni kuwa bishara zetu zimenawiri sana huko ambako hatuaminiwi, nadhani nyie mnafocus sana na side shows hadi mnapoteza ramani ya target yenyu. Mwanabiashara mkenya ni tofauti sana na mfanyibiashara wa Kibongo, jiulize kwa nini? leo tukianzisha biashara mimi na wewe chances ziko high biashara yangu itanawiri kuliko yako, unless utumie chumaulete.
 
i dont know about that,i was in SA for few days.

tena i came to realize few of you think to go to south africa is one hell of a big deal.come on ,its in africa and its not like you crossing the sea or such

Duh........ keep on exposing your ignorance.........
 
Wewe ulikuepo? au ndo uzumbukuu uleule wa kuwababaikia wageni.

Kapime huenda ngoma ishatinga, ka-zygote kanakua tumboni.
dogo hio ndio situation inayofahamika kokote walipo wabongo wanataabika ndio ukweli sasa kama mnataka ligi maana nyie kila kitu kwenu ligi basi endeleeni....
 

haha Smatta here you again. Kwa bahati mbaya wewe Smatta una tabia za watanzania na wewe huwa hutaki kuambiwa ukweli, hasa pale tunapowazungumzia wakenya.

As to Tanzanians wanaoishi Afrika Kusini ni kweli kabisa, nasikia hata Ulaya wengine wako hivyo hovyo na wanaogopa kurudi nyumbani. Lakini do not tell me that there are no Kenyans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…