ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,716
- 57,243
Natambua kuwa Ni adabu njema unapowakuta watu kuwasalamia na Kisha Mambo mengine kuendelea.lakini kinachonikera ni Aina ya hizi salamu.kwa mfano mtu unakutana naye unamwambia Mambo vipi?yeye anakujibu POA.ni shwari? Anajibu fresh..lakini unakuta huyo mtu ana umwa au ana matatizo mengi TU Ila hawezi kukwambia kwamba sio poa.ni Kama tumekariri TU hizi Salamu tunafanya kwa mazoea
Me ninachoona tuwe tukikutana tunaanza TU Kuongea Jambo fulani kuliko kuanza kusalimiana masalamu marefu ambayo yapo Kama kuchorana TU kinafki.masalamu haya ndo yanafanya tuwe slow sana kwenye communication na kufikiri,we ukikutana na Mimi ongea TU shida Yako tuone tunafanyaje tukianza masalamu Mambo yatakuwa mengi na Mimi Sasa hivi Niko na haraka.