She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,189
Habari:
Nimekuwa nikifuatilia bidhaa nyingi kupitia social medias za wauzaji (kama facebook & Instagram)....Nilichogundua wabongo wengi hawaandiki location walipo na bei ya bidhaa zao wanaficha mpaka uwafate DM..Sasa sijui wanauza mihadarati?
kwamfano Hapa nlikuwa Instagram naangalia duka linalouza swimming costumes,Wengi hawajaweka location wala bei zao na mbaya zaidi unakuta hata DM hawajibu na simu hawapokei.
Nikawa tena naangalia Sehemu gani Dar kuna Swimming pools nzuri na Bei zake lakini wengi unakuta resorts ila hawataji iko wapi au hawataji direction kwenye description unaambiwa ipo kigamboni. hawajui kigamboni ni kubwa?
Hawasemi prices zao za swimming mpaka uanze kuhangaika.(mpaka sasa sijafanikiwa kupata sehemu)
Jamani Tambueni wabongo sisi ni wavivu,,Huo mda wa kukutafta DM au nkupigie Bora nitafute muuzaji mwingine aliyeweka wazi price zake.
mteja huenda dukani moja kwa moja.Basi wewe haukuwa mteja. Mteja uenda DM moja kwa moja.
kweli kabisaBongo=Bongolala.
Acha kutetea ujinga.Basi wewe haukuwa mteja. Mteja uenda DM moja kwa moja.
na wewe ni mmoja wa wale washenzi wachache ambao hua hawataki kuandika bei za bidhaa wanazopost eti hadi uende DM, kwani mimi nataka kutongoza hadi niende DM? weka bei nikiielewa bidhaa kuwe na namba ya simu nakupandia hewani, ova.Basi wewe haukuwa mteja. Mteja uenda DM moja kwa moja.
Si kweli!Basi wewe haukuwa mteja. Mteja uenda DM moja kwa moja.
Wengine account ni private.... Ujinga ni mzigo
Unachoshindwa kujua ni kua kuna wateja wanapata ushawishi wa kununua bidhaa/huduma baada ya kuona bei.Basi wewe haukuwa mteja. Mteja uenda DM moja kwa moja.
Jaribu zile hoteli za kitalii tanga pangani Wameweka kila kituHabari:
Nimekuwa nikifuatilia bidhaa nyingi kupitia social medias za wauzaji (kama facebook & Instagram).
Nilichogundua wabongo wengi hawaandiki location walipo na bei ya bidhaa zao wanaficha mpaka uwafate DM..Sasa sijui wanauza mihadarati?
kwamfano Hapa nlikuwa Instagram naangalia duka linalouza swimming costumes,Wengi hawajaweka location wala bei zao na mbaya zaidi unakuta hata DM hawajibu na simu hawapokei.
Nikawa tena naangalia Sehemu gani Dar kuna Swimming pools nzuri na Bei zake lakini wengi unakuta resorts ila hawataji iko wapi au hawataji direction kwenye description unaambiwa ipo kigamboni. hawajui kigamboni ni kubwa?
Hawasemi prices zao za swimming mpaka uanze kuhangaika.(mpaka sasa sijafanikiwa kupata sehemu)
Jamani Tambueni wabongo sisi ni wavivu,,Huo mda wa kukutafta DM au nkupigie bora nitafute muuzaji mwingine aliyeweka wazi price zake.
nafuta za darJaribu zile hoteli za kitalii tanga pangani Wameweka kila kitu
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app