Wabongo kwa kushangaa!!!!!

HGYTXK

Senior Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
194
Reaction score
71


"Sasa nyinyi mnanishangaa nn,mbona mm ni mfupi kuliko wote kwenye familia yetu".
 
Huyo dada referee kwato zake zimeniacha hoi!!!
 
Huu. Uzi hapa si mahali pake, nahisi ni wa chitchat au photo.
 
Kwani kuna mwanamke hapo jamani mbona mmetuchoka hivi?

Kushoto mwa Shikokoti huyo ni dada bana si unajua huwa wanafanya mazoezi sana hawa ndio maana mnashindwa kutofautisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…