Wabongo inakuwa kuwaje?

Kwaito iko juu,hatuihijaji energy.Si unajua kuipinga serekali kunahitaji energy,na inahitaji akili ya ziada.

Hilo ndilo tunaweza baada ya hapo ni kupeana taarifa ilikuwaje, kwa hali hii, ni kizazi kijacho baada ya 2050 ndicho kitaiendeleza nchi hii kwa kuwa na vitu mbadala, Mungu kibariki kizazi kijacho!
 
Hivi kwa nini inaitwa kwaito, mbona hata ulaya na Marekani huwa wanacheza hiyo au kwa vile wanapiga ule uwimbo wa South Africa anaye elewa vizuri hii dance naomba anielimishe huwa sielewi.
 
Hivi kwa nini inaitwa kwaito, mbona hata ulaya na Marekani huwa wanacheza hiyo au kwa vile wanapiga ule uwimbo wa South Africa anaye elewa vizuri hii dance naomba anielimishe huwa sielewi.

States nadhani hiyo ndo inaitwa cha cha slide.
 
nimeiona hii kwa kweli lolz....hebu angalieni jamaa wanavyoigizana...\

Kwa kweli wengi wanajua kuicheza ilo kwaito.
Nadhani tusojua kuicheza tupo wachache.
 
huo mgoma hata siuwezi mie, ntaishia kukanyaga watu, la wakiinama mie nanyanyuka,wakigeuka kushoto mie kulia! Taabu tupu. Ingawa napenda kuwaangalia wakicheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…