Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Wakenya wanaamini (kwa mujibu wa taarifa ya kwenye hiyo video) kwamba kulala na wabibi Wazee kunaponya magonjwa sugu, hali hiyo imepelekea wabibi wa watu wazee kubakwa kila siku ili kuponya magonjwa, hivyo ili kuwaepusha na haya maswaibu basi Wakenya wameanzisha programu ya kuwafundisha Wabibi Wazee Kung Fu ili waweze kujisaidia na kujilinda wenyewe dhidi ya wabakaji!
Kama kawaida yao Wakenya wanawapelekea Wazungu programu kama hizi, kama siyo kujishushusha na kujidharaulisha ni nini? Mbona wao Wazungu matatizo yao hawawaletei ninyi?
Kama kawaida yao Wakenya wanawapelekea Wazungu programu kama hizi, kama siyo kujishushusha na kujidharaulisha ni nini? Mbona wao Wazungu matatizo yao hawawaletei ninyi?