Ndugu katika kuelimisha hakuchagui ni nani anaye elimishaok waelimisheni maana wanakera.
Waabudu sanamu ni sisi wakatoliki au?mnatutenga?Nawashauri waitafute amani na watu wote,tena sio kuitafuta tu ilimradi,waitafute kwa bidii
Waebrania 12:14
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote ,na huo utakatifu,ambao hapana mtu atakaye mwona Bwana asipo kuwa nao.
Agizo la Mungu katika
Yohana mtakatifu 13:34-35
inasema
34Amri mpya nawapa,mpendane.kama vile nilivyo wapenda ninyi,nanyi mpendane vivyo hivyo.35Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu,mkiwa na upendo ninyi kwaninyi.
Kuna wengine wamekalili neno katika biblia lisemalo "mkatengwe nao" wamejitenga na wakristo,wanasalia nyumbani
Bila kufikiri kwa makini neno hili lina maana gani
Hapa Neno lilikuwa na maana mkatengwe na waabudu sanamu.
HahahaWaabudu sanamu ni sisi wakatoliki au?mnatutenga?
basi sawaNdugu katika kuelimisha hakuchagui ni nani anaye elimisha
Hata we unaweza kuwaelimisha,kwa kuwafungulia vifungu katika biblia
Tetea hoja yako wakuelewe,waelimike
Vile unavyojua,si wote wanajua,kwahiyo ni muhimu kuwaelimisha wanaohitaji elimu,usiwe mbinafsi na kuwatupia lawama tu,pengine hawajui walitendalo.
Kama ni kwa hila au husuda si madhumuni ya neno hili.... huko siyo kutafuta amani bali ni kuichochea chuki.Ngoja nikasimamie hili andiko nimnyooshe jamaa mmoja mwanga sana hapa mtaani.
Hujui unachokisema...Kama ni kwa hila au husuda si madhumuni ya neno hili.... huko siyo kutafuta amani bali ni kuichochea chuki.