Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Aug 22, 2013 #2 Ukikurupuka na binti wa JF madhabahuni lazima utafute huu mkanda
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Aug 22, 2013 #3 Si dhani km imefikia hapo jamaniiiii
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Aug 22, 2013 #4 englibertm said: Click to expand... Itengenezwe mikanda inayozuia mikono kwa abiria wa kiume wakiendeshwa na wanawake nayo itapunguza ajali
englibertm said: Click to expand... Itengenezwe mikanda inayozuia mikono kwa abiria wa kiume wakiendeshwa na wanawake nayo itapunguza ajali
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,876 Reaction score 55,756 Aug 22, 2013 #5 Ngekewa said: Itengenezwe mikanda inayozuia mikono kwa abiria wa kiume wakiendeshwa na wanawake nayo itapunguza ajali Click to expand... nalo neno
Ngekewa said: Itengenezwe mikanda inayozuia mikono kwa abiria wa kiume wakiendeshwa na wanawake nayo itapunguza ajali Click to expand... nalo neno
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Aug 22, 2013 #6 Mwana Mtoka Pabaya said: Ukikurupuka na binti wa JF madhabahuni lazima utafute huu mkanda Click to expand... Sipendi unavyomsema King'asti indarektli...!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwana Mtoka Pabaya said: Ukikurupuka na binti wa JF madhabahuni lazima utafute huu mkanda Click to expand... Sipendi unavyomsema King'asti indarektli...!!!
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Aug 22, 2013 #7 Chiriku seatbelt atanyamaza akitaka asitake la sivyo ataongea mpaka mtafika Mwanza hajanyamaza kusema
Chiriku seatbelt atanyamaza akitaka asitake la sivyo ataongea mpaka mtafika Mwanza hajanyamaza kusema