Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Jamani ukifuatilia sasa hivi nchi za uarabuni kuna mwamko mkubwa zidi ya uonevu, na hii ni baada ya Tunisia kufanikiwa kuondoa jabali lao ambalo lilikaa madarakani kwa mda mrefu ,watu waliandamana na wengine kujipiga kiberiti, sasa hii hali imehamia misri,watu wasiopungua saba kule wamejipiga viberiti ,hii inaonyesha kabisa kuwa ngoma ukiipiga sana inapasuka.na kule lebanon kulikuwa na machafuko ya aina hii, kuna nchi nyingine inaitwa Yemen nao jana tu ndio wamelianzisha wakimtaka Rias aondoke madarakani .....sitaki kuorganize hii kitu hapa nchini kwetu ila nasema hizi ngoma ikilia sana itakuja kupasuka siku moja tu amini haya maneno..na sisi tunapigwa kila siku tu..