Pasco hana tofauti na manyerere,wote ni makanjanja
Pasco hana tofauti na manyerere,wote ni makanjanja
Nikusahihishe kwanza, hatutaki mabadiliko tu Bali mabadiliko ya vitu, hatutaki wala rushwa, hatutaki mafisàdi, tunataka mabadiliko, hatutaki mabwanyenye na wenye ndimi mbili, tunataka Wa kututumikia na siyo wa kutumikiwa, tunataka wanaoweza kukemea rushwa ..hayo ndo mabadiliko ya kweli na rais bora atatoka CCM
maneno 'pumbavu na lofa' yameanza lini kua tusi? au kiswahili hukijui?