vipi mama, unaandika habari au unaota? ndo tuseme maneno ya maghembe yanakubembeleza au?
Waziri wa Maji, Prof Jumanne Maghembe akizungumza na waandishi wa habari wa gazeti hili,
walipomfanyia mahojiano maalumu ofisini kwake mjini Dodoma, hivi karibuni. Picha na Emmanuel Herman source: Mwananchi
Kama huyo mama ni mwandishi,basi picha hii ni nzuri sana na mfano bora kwa waandishi ikiwa na mfano wa mwandishi makini(kushoto kwa Prof Maghembe) na kulia kwake ni mwandishi mzembe kazini.