KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 Nov 14, 2011 #1 [h=3]Wawili mbaroni kwa kuwa na noti bandia zenye thamani ya sh. milioni 1.7/-[/h] Ivi hela ya bandia inakuaje na thamani? Kama zinathamani,,kwanini zinakamatwa? au kwanini serikali isizihalalishe?
[h=3]Wawili mbaroni kwa kuwa na noti bandia zenye thamani ya sh. milioni 1.7/-[/h] Ivi hela ya bandia inakuaje na thamani? Kama zinathamani,,kwanini zinakamatwa? au kwanini serikali isizihalalishe?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,341 Reaction score 99,022 Nov 14, 2011 #2 Nakubaliana na wewe kwamba huyo mwandishi ni kanjanja ilitakiwa kusema fedha za bandia kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya 1.7mil
Nakubaliana na wewe kwamba huyo mwandishi ni kanjanja ilitakiwa kusema fedha za bandia kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya 1.7mil
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,254 Nov 14, 2011 #3 great thinking,ila hilo jina mmh!