miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Nilikutumia salam, sema tulikuwa bize na marekebisho ya sistimu ya mfumo wa mtandao kwenye netweki... Kifupi ni kuwa alisema anakusudia kufunga ndoa rasmi na DEMBA wiki hii. Ameomba upunguze kum bip bip, Pm na mizinga ya hapa na pale kama ulivyozoea. Ni hayo tu......
....unataka wavae madera na baibuiiii....ofisini yanapigwa marufuku, mtaani atajionesha saa ngapi...ibadani ndiko adhaniako...ukute anaposali wanacheza kwaito/ruka rukaaaa...full kujiachia
Unaonekana hujui kinachokupeleka kanisani.....simaanishi watu waendelee kuvaa hivyo ulivyoviona bali ishinde tamaa na umshinde shetani.Aliyesimama katika neno hata uvae ushuzi gan wala hatikisiki
wrong...dig enough kwenye bible ama msaafu hata picha za yesu huoni mavazi yaliyokua yakivaliwa kuingia hekaluni? Hata wanaume pia walikua wakivaa kilemba kichwani wakati wa kusoma maandiko!unaonekana hujui kinachokupeleka kanisani.....simaanishi watu waendelee kuvaa hivyo ulivyoviona bali ishinde tamaa na umshinde shetani.aliyesimama katika neno hata uvae ushuzi gan wala hatikisiki
acheni unafiki enyi wanawake mi nikija nikakaa nawe halafu natoa mashine nachezeachezea utaendelea vizuri na ibada yako. Hata simaanishi kwamba utaitaka bali itakusumbua kwa njia moja ama nyingine.kama umeenda kwa nia ya kusali hata uone chuchu hutastuka!!!!!
Kwa msaada wa mungu mtayashinda ya dunia.......
Nshamfikishia salam, ila kazipokea huku ananirembulia jicho la kushoto.... sijamuelewa ujue...
acheni unafiki enyi wanawake mi nikija nikakaa nawe halafu natoa mashine nachezeachezea utaendelea vizuri na ibada yako. Hata simaanishi kwamba utaitaka bali itakusumbua kwa njia moja ama nyingine.
Halafu hicho unachokisema hakipo. Inaonekana umesikiaga tu.....
message delivered.....that is what i think,,,,,, na kama nimesikia we inakupa shida gani????
hujaenda kusali wewe
Ukiwa umezama kwenye maombi
Roho yako imejikita kumwomba Mungu
Hata akae bila nguo hutomwona na ukimwona utamwombea Mungu amguse abadilike
Ila ukienda kanisani macho juu juu kuangalia fashio za nywele na mashati hata gunio utaona ni transparent
Hv wew ni jinsia ya kiume kwel Wewe.ukiona upaja nliouona utaduwaa mwenyewe..nliyemuona mm co gumegume ni mshombeshombe.
Nini maana ya majaribu? Au nyie mmeamua kufanya kazi ya shetani kuwajaribu wachaMUNGU? Kumbukeni afanyae kazi ya shetani, naye ni shetani.
miss strong my twin mbona kama unataka kunipindua dadako?Aisee..mi sijambo miss strong..tukutane kitaa...huyu Baba V ntasema naye kiume