Waalimu wanahitajika, Greenbird Schools

Waalimu wanahitajika, Greenbird Schools

juma mndeme

New Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
4
Reaction score
0
GREENBIRD SECONDARY SCHOOLS LOCATED IN MWANGA KILIMANJARO WISHES TO ANNOUNCE THE OPEN VACANCY FOR THE MENTIONED SUBJECTS ABOVE.. apply at director@greenbirdinstitutions.org the interview will be on 9th JAN 2015 closing date of application is 4/1/2015 experience will add value on your application but not a necessary criteria for applying..female teachers are encouraged to apply SUBJECTS : CHEMISTRY, BIOLOGY, ENGLISH, GEOGRAPHY, KISWAHILI, MATHS AND PHYSICS

more details contact: 0784 696384
 
chemistry, biology, english, geography, kiswahili, maths and physics
 
hawa jamaa kila mwaka wabaita kwa masomo hayo hayo tu? vipi kulikoni?
alafu wanaita watu wengi mkifika ni usaili wa ana kwa ana alafu mnamaliza mnaondoka , jamani watu hawana pesa kumbukeni wengine wazazi wanajichanga ndo wanapata nauli. mfumo wenu mbovu badilikeni.
 
Nafikiri ingekua bora kama watakua na utaratibu maalumu wa kuwafanyia usaili waombaji ili kupunguza baadhi ya hasara ya kwa waombaji kusafiri umbali mrefu halafu anakua amefanya utalii wa ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom