Waajiriwa Wapya DSM

Waajiriwa Wapya DSM

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,086
Kwa wale wanaoanza Maisha DSM Ninauza vitu vya ndani Jumla pamoja na appartiment. Nipo Tabata Kimanga mtaa wa Sundown; nimepanga nyumba ya sh.160000/kwa mwezi ina vyumba 2, sitting, jiko na choo ndani. KODI yangu inaisha mwezi wa 3- 2015 ila mimi nitahama kati ya tarehe 20-25 January au chini ya hizo tarehe. Hivyo nataka kumuachia mtu na vyombo vyote kitanda 1 cha 6*6 na godoro lake vipo ktk hali nzuri, friji, Tv philips ya zamani, king'amuzi, kabati la nguo, stand ya viatu, stand ya nguo, Sofa moja 2by2 na 2 single hali nzuri, na vyombo vya ndani vyote vya ndani na jiko kiujumla sitaki kubeba kitu. Offer ya miezi 2 miwili bure nitakuachia kwenye kodi karibuni. Kwa anayetaka anitafute 0756324094.
 
Jina lako ninatisha sana. Anyway lakini ntakutafuta mm.
 
wapi maeneo gani huko?

mkuu unahama i-inji nini?

poa watakupigia
 
Mhhhhh!!!!! Watakutafuta wanaomaliza maisha cc tunaoanza tunaanzaga na chumba kimoja cha uwani, choo cha kushare, vyombo vya chakula kimojakimoja, kitanda changu cha 2.5x6'
 
Mhhhhh!!!!! Watakutafuta wanaomaliza maisha cc tunaoanza tunaanzaga na chumba kimoja cha uwani, choo cha kushare, vyombo vya chakula kimojakimoja, kitanda changu cha 2.5x6'

Ha ha ha! Kama ulikuwepo vile. Dah! maisha ni safari ndefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom