"I have learned over the years if you want the best talents, stop looking for perfection, it does not exist. Resumes don't perform jobs. It's people. So hire people, not resumes!"
--Brigette Hyacinth
Tafsiri ya kawaida.
"Nimejifunza kwa muda sasa ya kwamba, kama unahitaji talent bora zaidi katika kazi, achana na kutafuta perfection/ukamilifu ndani ya mtu. Hakuna aliye kamili, mkamilifu. Vyeti havifanyi kazi. Wati ndio wanafanya kazi, hivyo ni muhimu kuajiri watu sahihi na sio vyeti."
--Brigette Hyacinth
Google wana slogan yao kwamba, "You can be serious without a suit". Kuna vitu vingi ya msingi sana vya kuangalia kama HR/muajiri unapofanya usaili zaidi ya taarifa zinazopatikana kwenye certificates za msailiwa. Let's hire people, not their look, certificates, resume etc..but PEOPLE.
Let's be humans.