Brazil ya buza 🤣🤣🤣🤣🤣Huu mwandiko umevuka bahari kweli?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji115] mkuu umeuaAaah Tanzania hatuna mabasi mazuri nyie...
Nilienda Malawi nilifika usiku mwenyeji alinipokea tukafika kwake nikala nikalala.
Asubuhi nasikia honi za magari, nilipoangalia dirishani kumbe ni mabasi makubwa mazuri, mengine yanavuta trela ndogo, nilipo muuliza mwenyeji wangu akasema mpaka yana choo ndani [emoji23]!!.
😂😂😂😂Huu mwandiko umevuka bahari kweli?
Uliyoyaona na yanayoendelea uwanja wa fisi yapi makubwa?Bac siku moja Mjomba akasema twende club moja maeneo ya karibu na anapoishi tukapge mbili tatu , lkn nikichojutana nacho uko ndipo nikaamin Africa hakuna dhambi kabisa.
[emoji1787][emoji1787]we kuna kwel!Aaah Tanzania hatuna mabasi mazuri nyie...
Nilienda Malawi nilifika usiku mwenyeji alinipokea tukafika kwake nikala nikalala.
Asubuhi nasikia honi za magari, nilipoangalia dirishani kumbe ni mabasi makubwa mazuri, mengine yanavuta trela ndogo, nilipo muuliza mwenyeji wangu akasema mpaka yana choo ndani [emoji23]!!.
Huku hayaruhusiwi ni abnormalAaah Tanzania hatuna mabasi mazuri nyie...
Nilienda Malawi nilifika usiku mwenyeji alinipokea tukafika kwake nikala nikalala.
Asubuhi nasikia honi za magari, nilipoangalia dirishani kumbe ni mabasi makubwa mazuri, mengine yanavuta trela ndogo, nilipo muuliza mwenyeji wangu akasema mpaka yana choo ndani 😂!!.
Unataka kutuambia uliyoyaona kwenye hiyo club ?...ama Brasil kwa ujumla wake?Mkuu ya huku ni makubwa zaid , naogopa kupost humu but ni makubwa zaid ya tz nzma [emoji847]
Upo mbali sana na mada aseee!Huku hayaruhusiwi ni abnormal
Acha ufara basi yaseme au si ungepiga kimyaMkuu ya huku ni makubwa zaid , naogopa kupost humu but ni makubwa zaid ya tz nzma [emoji847]
Labda upo brazil ya tegetaAsikwambie mtu huku kwetu Afrika hasa kwa sisi weusi dhambi tunazoziona kwetu ni dhambi kubwa si kitu kwa mataifa yalioendelea.
Yaani ukifanikiwa kutumbelea nchi za nje zilizoendelea hasa America au Europe na kupata nafasi ya kwenda nights club zao au sehem za starehe utakutana na vitu vya ajabu ambavyo huku kwetu Africa hakuna serikali itakayoruhusu vitu hvyo vifanyike.
Mwaka huu nilipata fursa ya kwenda Brazil kwa uncle wangu ambae aliondokaga home zamani sana akazamia uko.
Basi siku moja Mjomba akasema twende club moja maeneo ya karibu na anapoishi tukapige mbili tatu, lkn nikichojutana nacho uko ndipo nikaamin Africa hakuna dhambi kabisa.
Nadhan shetani kwa sasa ndio anajaribu kuingia kwetu huku maana kule ameshamaliza kazi yake kitambo sana..[emoji87][emoji18]