wacha nijihami mapema ......inapatikana hapa.............MICHUZI BLOGUliwaomba kibal mkuu? Wasije raia wakakutafuta kwa kuweka sura zao mtandaon bila ridhaa yao
Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.hao ni wanaume wa hapo ulipowapigia hyo picha
hahahaaaa! bora, raia wana hasira sana siku iz ukizingatia ni January, hasira zote za majukumu yao utazibebawacha nijihami mapema ......inapatikana hapa.............MICHUZI BLOG
Nimekupata mkuu, kumbe ulituuliza swali ambalo jibu unalo, ila asante nimeosha macho nilikua sijaona mgongo wazi kitambo, hahahaaaaWafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.
Ulitaka wanywe viroba? Unajidai kunywa vinywaji vikali kumbe unapunguza siku zako za kuishi
Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.
MICHUZI BLOG
Wanaume wa wapi hawa wanaokunywa Castle Lite?