wazanzibar wengi wamekuwa wakilalamika kuhusiana na kunyonywa na tanganyika na wao kukosa maendeleo. Lakini lakujiuliza ni juwa wananyonywa nini? Mbona uchumi wao unategemea karafuu,utalii na uvuvi ambavyo hawajaviendeleza? Wao uliwauliza utawasikia wakilalamika kuwa hawapati misaada toka oic na nchi za kiarabu kwa sababu wao sio nchi.
Swali la kujiuliza ni kuwa wanataka zanzibar iwe nchi kamili ili wapate misaada itakayowafanya waendelee? Hapo si hawatakuwa tofauti na viongozi wa serikali ya muungano ambao wanawaza misaada huku wakiwa hawajui ni 1/3 ya maliasili zao wenyewe kama dhahabu,almas,tanzanite nk.
Ukweli
maendeleo ya wazanzibar yataletwa na wazanzibar wenyewe mkiwa mnadai zanzibar muwaze pia karafuu, samaki na utalii mtaendelezaje ili kujiletea maendeleo.
Doma g
Wazanzibar wengi wamekuwa wakilalamika kuhusiana na kunyonywa na Tanganyika na wao kukosa maendeleo. Lakini lakujiuliza ni juwa wananyonywa nini? Mbona uchumi wao unategemea karafuu,utalii na uvuvi ambavyo hawajaviendeleza? Wao uliwauliza utawasikia wakilalamika kuwa hawapati misaada toka OIC na Nchi za kiarabu kwa sababu wao sio nchi.
Swali la kujiuliza ni kuwa wanataka Zanzibar iwe Nchi kamili ili wapate misaada itakayowafanya waendelee? Hapo si hawatakuwa tofauti na Viongozi wa serikali ya muungano ambao wanawaza misaada huku wakiwa hawajui ni 1/3 ya maliasili zao wenyewe kama dhahabu,almas,tanzanite nk.
UKWELI
Maendeleo ya wazanzibar yataletwa na wazanzibar wenyewe mkiwa mnadai Zanzibar muwaze pia karafuu, samaki na utalii mtaendelezaje ili kujiletea maendeleo.
DOMA G
Wazanzibar huu ni ushauri wa bure kwenu wekeni nguvu na akili yenu katika kukuza uchumi na maisha bora ndani ya muungano Kama mnategemea siku mtakuja kua nje ya muungano ni ndoto ambayo siku ukiiota ni siku unaicha hii ardhi! Nasema haya nikiwa na ushahidi wa kutosha Hakuna kitu au Mtu aliefanya Lolote la kiweza kuifanya Zanzibar iwe huru Kama mnavodai! Kumbuka huwezi umaliza unyayo wakokwakutembea! Hio sio soli ya kiatu!