Wa NACTE tusaidiane

Mad Scientist

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
215
Reaction score
77
Nimereset machaguo kisha nikachagua kozi nne. Sasa kwenye profile chini ya continue with application kuna neno "Add choice". Hili neno nilitegemea litaondoka baada ya dirisha kufungwa ila bado lipo. Vipi kuna aliewahi kukutana nalo? Na je sio tatizo?
 

Attachments

  • wp_ss_20151017_0001.png
    10.4 KB · Views: 195
Unatakiwa uongeze chaguo la institute/chuo kama unataka kuongeza,ila kama wewe umetaka manne peke yake haina shida.ingekuepo reset choice ni tatizo kama hamna hiyo kitu.basi subiri matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…