Wa Mikoani karibuni mlo!!!

Mbona hapo ni Malawi? Mkuu wewe mnyasa?
 
raha ya huku mboga unajikadiria mura. unagecha mbuli mzima au ng'ombe hatupimi huku. starehe ni kuwa washiriki huwa wachache kwaio hakuna kuhesabiana matonge na finyango. hakunaga juice pembeni-mwendo wa maji ya kisima. kazi nzuri sana ya mama bhoke anayajaza mtungini yanapoa maana jokofu sio kipaumbele huku. MIKOANI RAHA
 
Uko sahihi kabisa jembe.
 
Napenda ugali wa ulezi tatizo unakuaga na mchanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…