Wa mama mnahitaji pongezi

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,649
Reaction score
2,805
Wakuu leo kabla ya kwenda Ibadani nimelazimika kubadiri chandarua na mashuka, lakini nimepata taabu sana kutandika kutokana na usumbufu wa chandarua kama picha inavyoonekana.

Najua vijana ambao hamjaoa apa mtatoka kapa lakini pia na wanaume kulala msiopenda kufanya kazi za nyumbani mtashangaa.

Nikajikuta nawashangaa wamama wanavyofanya kazi za nyumbani kwa haraka na unadhifu.
Nawapongeza sana na Mungu awabariki.
 
Sio fani yako mkuu ingekua kubadili tairi mbona ungefanya fasta tu
 
Kitanda km cha gesti moja hivi huku manyovu
 
Kitanda km cha gesti moja hivi huku manyovu
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…