Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,147
Ni kweli unayo sema lakini kutokana na hao waIsrail ni wachache kuliko hao wapalestina sizani kama hao waIsrail waliopo hapo Israil wanazidi zaidi ya Watu Millioni 7 ukilinganisha na hao Wapalestina na waarabu wote ndio wako wengi ni sawa sawa tu Mwi-Israil mmoja sawa na Wapalestina 1000. Kwa sababu akifa mu Israil mmoja inakuwa kwao hao WaIsrail pigo kubwa wamepata Wapalestina wanazaliana kama kuku anavyotaga mayai.Hii sasa ni kufruh, yaani thamani ya Israel 1 ni Palestine 1027? MziziMkavu unaionaje hii namba, does it make sense?
Mkuu Usifanananishe Uamuzi wa Netanyau na hapo kwetu uamuzi wa JK ni vitu viwili vipo tofauti tu mkuu usituchanganye kwetu hii topic yetu . Mambo ya Ngoswe wewe Muachie Ngoswe tu.Uamuzi wa Netanyau Unafanana fanana na Ule Wa Jk kuwaachia huru polisi wawili waliomuua Kombe na serikali kuilipa fidia familia ya kombe million 200
Ni kweli unayo sema lakini kutokana na hao waIsrail ni wachache kuliko hao wapalestina sizani kama hao waIsrail waliopo hapo Israil wanazidi zaidi ya Watu Millioni 7 ukilinganisha na hao Wapalestina na waarabu wote ndio wako wengi ni sawa sawa tu Mwi-Israil mmoja sawa na Wapalestina 1000. Kwa sababu akifa mu Israil mmoja inakuwa kwao hao WaIsrail pigo kubwa wamepata Wapalestina wanazaliana kama kuku anavyotaga mayai.
Palestina imefunga Waisrael wangapi katika Magereza yao ? na Waisrael wamefunga Wapelistina wangapi katika Magereza yao ? nani amepata deal poa hapo ? acha kutumia masaburi !Hii sasa ni kufruh, yaani thamani ya Israel 1 ni Palestine 1027? MziziMkavu unaionaje hii namba, does it make sense?
Mwi israil 1 = Wapalestina 1027
Waisrail 6,000,000 = Wapalestina ?[/QUOTE]
Waisrael 6,000,000 = Wapalestina 6,162,000,000!Thats Amazing!....khaa kumbe wapalestina ni kama mafungu ya Nyanya!
Palestina imefunga Waisrael wangapi katika Magereza yao ? na Waisrael wamefunga Wapelistina wangapi katika Magereza yao ? nani amepata deal poa hapo ? acha kutumia masaburi !
lakini waligonga mwamba kwa Hiz-bullahAskari wa Israel are well trained angalia hata operation zao walizofanya ulimwenguni kote ni za mafanikio makubwa na kwa upande mwingine waweza sema ni za kiajabu-ajabu mfano vita vya siku sita vya Mashariki ya kati Kati ya Waarabu na Isarael,na 90 minutes at Entebe airport pia wana uwezo wa kuwa-target magaidi popote walipo,kwa maneno mengine Jeshi la israel lina Mkono mrefu wa kuweza kuwafikia mahasimu wake popote walikojificha.
Hii ndiyo inayowafanya wawe na dhamani sana hata katika vita vya 1967 walifuata ratio hiyo kubadirishana wafungwa wa kivita na waarabu.
hawana dhamani
Ki vipi hujafafanua hebu fafanua tuone kama kweli waligonga mwamba kama LordJustice1 anasema hawana thamani jaribu kutupatia kivipi hawana thamani????lakini waligonga mwamba kwa Hiz-bullah
................ kwakuwa una Simba na Kondoo ambao ndio Waungu wako ? punguzeni kuandika ujinga humu ! kila siku Wapelestina wanakamtwa na kufungwa kwa uonevu na ubeberu, leo nyie mmekalia kubeza. Si ajabu hata makaburu walikuwa na watu wa kuwasapoti, na walihalalisha ubaguzi wao kwa kutumia Biblia !Kaazi kweli kweli, mbona unataka kuharibu hii thread? Are you sure you want to deal with me? If I was you, I wouldn't. Mkuu MziziMkavu ni jamaa yangu wa siku nyingi na si dhani kama ni busara kumharibia thread yake, kama ambavyo utakavyo wewe Ali Kombo. Heshma ni kitu ya bure,.