Jamani vijana na wangu siku hizi mna hard time sana!!! Hawa wako katika biashara au ndiyo kawaida, it is too hurting to see them half naked ehhhhh. It needs a heart!!! Nisije nikakutana na picha ya sister, cousin, niece!!!! Maajabu ya dunia!!! Ndoa zitadumu kweli namna hii!!!??