Vyuo vya ualimu vimeishia wapi

dikai

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
125
Reaction score
7
hivi mwaka huu hamna wanafunz watakaoenda vyuo vya ualim wa primary na awali km ilivyokuwa miaka ya nyuma maana siku zinasogea sijaskia tetesi zozote kuhusu walochaguliwa ualim wa primary na awalo
 
kama hukuaply kupitia nacte utaishia kuviskilizia kwa wengine tu
 
Bado wapo kwenye mchakato wa kutoa maana wameanza na undergraduate so sun watatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…