Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!
poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 necta 2012! Anataka asomee ualimu grade a chuo cha private. So naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!
Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!
On top of that, wizara ya elimu inatoa lini nafasi za kuomba kujiunga na vyuo hivi vya ualimu? naombeni kusaidiwa, na kama wizara haitoagi hizo nafasi, un apply kupitia wapi!? Natanguliza shukrani.