Wewe unahitaji kusoma Laboratory technology ili uwe Laboratory technician, vyuo hivyo ni vingi ingawa sina hakika na technology inayofundishwa huko. Vyuo vingi sasa hivi ni biashara zaidi kuliko kufundisha utaalam. Nahofu na namna ya kujiendeleza kwako baadae hasa ukiishia kuwa maabara isiyo kulipa sawa sawa na ukatakiwa kukimbia huko kwa njia ya kujiendeleza. Binafsi nashauri ufikirie kitu kingine na siyo hiyo kozi. Sijui umeishia wapi.
Eckenford,besha wote kundi moja ,wamiliki wake wagumu kamakitu gani ,wako kimaslahi zaid ,besha zamani ilikuwa o level, mpaka A level, lakin akafunga shule kwasbabu anazojua yye mwenywe